NEW JOINT: MARLEY-NAKUPENDA SANA
New Joint inayokwenda kwa jina la "Nakupenda Sana" ya kwake Marley ndio ipo officially out. Ngoma Imefanyika na Producer Triss, Kama kawa ni Dirty Mode Records Recipes..
Awali Msanii huyu alikuja na Ngoma inayokwenda kwa jina la "Sina cha kupoteza" akimshirikisha Belle 9.
Alipendwa sana kwa style yake ya Ragga kwenye Ngoma hiyo na ndipo wadau walipomshauri afanye kitu cha tofauti kidogo na hiphop kwa kuimba Sweet Raggae.
Ngoma hii ni mfululizo wa ngoma nyingi zinazokuja za kijana huyu.
Keep Tuned kupitia hapahapa Dirty Mode Records Blog!!!!!.
DOWNLOAD NGOMA HII HAPA CHINI
DOWNLOAD SINA CHA KUPOTEZA Ft. Belle 9 HAPA
1 comments:
BLESSED BE THE DIRTY MODE AND ITS FANS....!!!!!!!
Post a Comment