Yeah guys dirty mode records ime-release a new single by Stone ambayo inaitwa Sello. Single hii imerekodiwa na tayari imeshaachiwa katika vituo mbalimbali vya radIo kwa ajili ya faNs kusikia ni kwA namna gani Morogoro tunaweza na pia Msanii Stone amekuja kuweka revolution katika tasnia ya Muziki wa Bongo flavour nchini TANZANIA. NYIMBO HII INASIKIKA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA RADIO KAMA KISS FM (african beats at 12 jioni kila siku kasoro Jmosi n Jpili), PAMOJA NA CLOUDS FM (xxl at 7-10 Jioni)bILA YA NYINYI FANS HATUWEZI KUFIKA POPOTE PALE. TUNAHITAJI SUPPORT YENU YA KUTOSHA KUTUFANIKISHA..