NEW VIDEO KUTOKA DIRTY MODE RECORDS
Yeah Guyz again and Again the One among the best Recording studio zilizowatoa na kuwatambulisha wasanii chipukizi wa Hip hop na RnB, DIRTY MODE RECORDS inakuja na Video kali kutoka kwa Artist wake wa miondoko ya RnB anayekwenda kwa jina la STONE. Video hii inakwenda kwa Jina la "Number One". Script pamoja na taratibu zote za Kufanyika kwa kichupa hicho zimekwisha kamilika.
One Among the Top and Leading Video Companies ndio zitasimamia suala zima la kumfanya jamaa huyo aweze kuonekana mbele ya Luninga zenu fans wetu. One Love, One Support kama ndio slogan yetu, tunaomba support yenu ya kutosha fans kuweza kubariki Movement hii ifanikiwe ili mueendelee kupata burudani kama kawida na desturi za Dirty Mode Records..
0 comments:
Post a Comment