VIDEO RELEASE


Hey fans, soon video ya stone itaanza kuonyesha since vituo vingi vya television ikiwa ni pamoja na TBC 1, EATV, CLOUDS TV, STAR TV, CHANNEL 10 na vingine vimeshapata nyimbo hii so kaa mkao wa kula kuitazama na soon itakuwa kwa blog yetu.

0 comments:

Post a Comment