IZZO BUSINESS AFUNGUKA KUHUSU DIRTY MODE RECORDS


Msanii mahili wa miondoko ya Hip hop mwenye swags za ajabu kutoka mkoa wa Mbeya anayetamba na Bonge la track linalokwenda kwa jina la "Ridhi One", amefunguka rasmi kuhusu uwezo aliousikia kufikishwa na studio ya Dirty Mode Records. Maneno haya yalinukuliwa kutoka katika post yake iliyotumwa siku ya jumatatu katika mtandao wa kijamii wa FACEBOOK yakisema "dirty mode records huyu producer wa hii studio hez Bad let's support him anaitwa ''TRIPLE'' get ready kwa ujio wake!!!ndo kafanya ile ngoma ya mtu-chee". Yeah ni maneno ya mkali huyo yalivyonukuliwa.

Its Dirty Mode Records. One Support One Love

0 comments:

Post a Comment