Exclusive Studio Video Sessions (Coming Soon)

DIRTY MODE RECORDS inakuja na NEW component ya studio video sessions katika blog na facebook ili kuweza kuonyesha shughuli zinazofanywa na studio ikiwa ni pamoja na kazi za wasanii wanaofanya kazi na studio hiyo. Mambo yatakayokuwepo kwenye video segments ni pamoja na interviews, shows, freestyles, pamoja na special events. visit our blog from time to time kupata videos hizi. One Love..

0 comments:

Post a Comment