BWANA MISOSI Ft. DITTO, AMINI (THT)
kuonyesha kukubalika na kufanya kazi zake katika kiwango kinachokubalika, Dirty Mode Records imefanikiwa kufanya kazi na Mkongwe wa miondoko ya Bongo Flava kutoka Mkoani TANGA, BWANA MISOSI. Mkongwe huyu aliyewahi kutamba na nyimbo kama NITOKE VIPI na MABINTI WA KITANGA amefanya Ngoma hiyo akionyesha ujio wake Mpya baada ya kimya kirefu.
Ngoma hii imefanywa kwa ushirikiano na vinara wengine wakali wa miondoko hii ya Bongo FLAVA ambao ni DOGO DITTO na AMINI kutoka Tanzania House of Talents (THT). Mengi kuhusu jina la wimbo na mipango mingine yatawajia wakati taratibu rasmi zitakapokamilika. Thank you fans for making us blow....
0 comments:
Post a Comment