LYRICS CONTEST YAMGUSA MTANZANIA NCHINI FRANCE




Mtanzania nchini FRANCE kwa jina la Mponda Malozo aelezea kwa namna gani shindano la LYRICS/ USHAIRI lilivyomgusa na tafsiri yake katika maisha ya mwanadamu. Yafuatayo ni maneno machache ya jamaa huyo kama yalivyonukuliwa kutoka ukurasa wetu wa facebook...

"There is only one thing which can touch the innermost feelings of human existence, being it sadness, joy, celebration, unit, expression or changing of mood. That thing is nothing else but music, whoever gives you an opportunity to express your feeling through music, is for sure giving you an opportunity to live in peoples feelings. With these few words I would like to see all of you talented young musicians of Tanzania to come out and post your lyrics for us to vote and make you shine".

TAFSIRI:

"kuna kitu kimoja tu ambacho kinaweza gusa hisia za uwepo wa mwanadamu, iwe ni kipindi cha furaha, huzuni, sherehe hata mshikamano nacho si kingine bali muziki. Yeyote anayekupa nafasi ya kuelezea hisia zako kwa njia ya muziki anakupa nafasi ya kupenya ndani ya hisia za watu. kwa maneno haya machache ningependa kuwahamasisha watu wote wenye vipaji kuja na kushiriki, nasi tuweze kuwapigia kura......"

Bila kusahau unaweza kushiriki na kupiga kura shindano ili kwa kubonyeza HAPA

0 comments:

Post a Comment