WATCH VIDEO OF A TANZANIA RAPPER (JANB) IN SWEDEN


"Janbert Kiwia ambaye anafahamika zaidi kimuziki kama JanB. Ni Msanii chipukizi kutoka Tanzania ambaye anafanya music wa Rap, Pop/ House na mwandishi wa mashairi ya Muziki pia ambaye ana matarajio katika kupeperusha bendera ya Music kwenda ngazi za kimataifa".
Kwa sasa anafanya kazi zake za Muziki na maproducer binafsi nchini Sweden katika Mji wa Stockholm. Kuna mambo mengi ya kutegemea kutoka kwa huyu jamaa.

Hivi karibuni ameachia video yake mpya ambayo ameifanya Nchini humo akimshirikisha Mtanzania mwingine anayeimba muziki wa RnB, Obi. Ni bonge la ngoma for sure kila mtu atakubali kwamba watanzania na sisi tunaweza peleka muziki wetu katika level zingine. 






Watch video yake chini hapo,,, Bonge la video hakuna kibongo bongo..


AMEFANYA BIG DEAL NA DIRTY MODE RECORDS. SOON MTASIKIA GOOD NEWS. KEEP IN TOUCH......

Read More about Dirty Mode Records: www.facebook.com/dirtymoderecords
Read more about JanB : http://www.janbonline.com

0 comments:

Post a Comment