MARLEY FT BELLE 9 VIDEO RELEASED
The brand New Video ya Marley ft. Belle 9 imeachiwa kwa njia ya internet na baadhi ya vituo vya television vya nchini Tanzania.
Video hii imefanyika chini ya Company ya Video iitwayo Dirty Vision ambayo ipo affiliated na Dirty Mode Records.
Video hii imefanyika kwa lengo la kuwafanya watanzania na fans wote wa Music wa Dirty Mode Records waweze kumfahamu Marley na kujua uwezo wake wa Music (Promo Only).
Sikilizia ngoma hii ya msanii mwenye swags za hip hop akichanganya na maadhi ya Raggae Dance Hall.
Soon jamaa huyu atakuja na Ngoma nyingine ambayo itafanyika chini ya studio hizihizi za Dirty mode Records. Enjoy the video na support.
1.Download Marley ft. Belle 9 Mp3 CLICK HERE
2.Follow Dirty Mode Records on Facebook CLICK HERE
3.Follow Dirty Mode Records on Twitter CLICK HERE
0 comments:
Post a Comment