New Kid anaekwenda kwa jina la TiNTO amekuja na nyimbo ambayo kwa haraka tunaweza sema ndio inamtambulisha rasmi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya a.k.a bongo flava. Maadhi na mtindo...
LYRICS: NIPO LIKIZO+MP3 DOWNLOAD. NEWTONE FT NEYAH & BELLE 9 CHORUS NEYAH-Ni zaidi ya pigo kuhisi ulimwengu wako siwangu tena, BELLE 9-lile jalada la stress me nishalifunga staki me,NEYAH-kukupenda wewe...
New Joint inayokwenda kwa jina la "Nakupenda Sana" ya kwake Marley ndio ipo officially out. Ngoma Imefanyika na Producer Triss, Kama kawa ni Dirty Mode Records Recipes.. Awali Msanii huyu alikuja...
New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani morogoro. Ni masanii ambaye kwa kweli naweza sema ni wa pili kwa uwezo wa ki-RnB mkoani Morogoro ambaye anakuja kumuweka belle 9...
The brand New Video ya Marley ft. Belle 9 imeachiwa kwa njia ya internet na baadhi ya vituo vya television vya nchini Tanzania. Video hii imefanyika chini ya Company ya...