DIRTY MODE WEB SITE COMING SOON!!!!
YEAH FANS!!!!, WHATS UP,, Good News kusema kuwa Dirty Mode Records inakuja na website yake ambayo itasheheni mambo kibao kuhusu kazi za kila siku za studio ikiwa ni pamoja na Nyimbo zinazofanyika, beats, pictures za visitors na wasanii, videos za wasanii pamoja na recording sessions za artists, showz zinazofanyika na Artists wa Dirty Mode na walio-record Dirty Mode na Mambo Mengine Mengi ambayo bado yanafikiriwa na Studio Management kuweza kufaa na kupendezesha Website.
Lengo ni kutaka kijitangaza zaidi kuanzia level ya Taifa mpaka kimataifa kwa kuonyesha kuwa Tanzania pia kuna watu ambao wanafanya Music katika level zinazoweza kukubalika kimataifa. Kufanya hivyo Studio itatumia anuani yenye miisho ya ".co.tz" kama njia Moja wapo ya kuweza kuonyesha kuwa studio yetu inapatikana na inafanya kazi zake kutokea Tanzania.
Ukiwa kama fanz wa Dirty Mode Unaombwa kutoa maoni yako juu ya kuweza kuiboresha zaidi website ili iweze kukidhi mahitaji yako na wapenzi wa Music wote kwa ujumla. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia wall yetu ya page ya facebook(www.faceboo.com/ dirty mode records) kwa kutuandikia mawazo yako au kupitia barua pepe ya administrator wetu (jmwans@gmail.com). One Love One Support......
0 comments:
Post a Comment