VIDEO DONE


Habari zenyuuuuuu ma-Dirty Mode Fans???,,,,,, .Everything has been settled, na maandalizi ya KICHUPA cha track ya NUMBER ONE ya Msanii Stone yamekwisha kamilika. Now kila kitu kipo official coz taratibu za ku-shoot zimeshafikiwa baina ya pande zote mbili kati ya Video Company pamoja na uongozi wa studio za Dirty Mode Records.
KICHUPA hicho kimefikiwa muafaka wa kufanyikia Pande za Morogoro na Company ya SHOW BIZ DEFINED chini ya Director mahilli Eryne ambaye ameshafanya video kibao za Mastaa wa Bongo na zikafanya vizuri na kupokelewa kikamilifu. Video zilzotamba chini ya Company hiyo ni pamoja nay a SHETTAH, LINEX, TOP C, BOB JUNIOR, MR BLUE…. na wengine kibao. Pia makubalino yamefikiwa kuwa kichupa hiki kifanyike alhamisi yaani siku ya SABASABA….

Kama ilivyohaidiwa awali FANS mnakaribishwa kutupia nyago ndani ya video hii ambayo haibagui mtu yeyote kushiriki humo ikiwa na sharti moja tu la kuwa nadhifu a.k.a Kupendeza mbaya au siyo mazee??.

Kwa taratibu za kujua Location tuzidi kuwasiliana kupitia wall yetu inayopatikana facebook kwa ku click kwenye link yetu inayoonekana hapo kulia kwa homepage, au kwa kutuma email kwa Info-Administrator wetu ambayo ni jmwans@gmail.com. One Support One Love….

0 comments:

Post a Comment